OFA YA BEI " CHIA SEEDS"

Arista

Senior Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
137
Reaction score
103
Habari ya wkend wanajamii forum,ni wakati wa mavuno napenda kuwatangazia kuwa nauza Chia seeds kwa bei ya tsh 6,000.kwa kilo endapo utaagiza kuanzia kilo 50,chini ya kiwango cha kilo 50 nitakuuza tsh 8,000 kwa kilo.Chia zangu ni safi,salama na zenye ubora zaidi kutokana uzoefu wa kilimo takribani huu ni mwaja wa 3.Nipo mkoani Kagera,tunasafirisha kwa basi kwenda mkoa wowote ule,kwa Dar,Arusha,Morogoro,Dodoma na Mwanza nina Mawakala wangu ambapo utaenda kuagizia mzigo.Ahsanteni
 
ANGALIZO!
Kuweni makini na huyu jamaa.
 
Nyie ndo mnapunja watu bei kilo moja mnauza tsh 40,000.Kuna watu nawatumia hapo Dar washapunguza bei mpaka 15,000 kwa kilo wanauza,nyie bakini na bei zenu hizo mtakoma Dunia ya sasa hivi iko wazi,aibiwi mtu tena na hizo bei zenu.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Unatuma mzigo ndo natuma pesa ama inakuwaj?
 
Sema upo mkoani kati ya hiyo mikoa nikupe utaratibu!!
 
Kawaida yenu nyie wapenda faida kubwa,mnachukua bidhaa yetu kwa bei ya chini mnauza kwa bei kubwa,tukitangaza humu inakuwa nongwa kwenu,tushaujua uwanja uliosawa,hacha upumbavu wako hiyo ndo bei ya mkulima kwa sasa kama nyie bado mnawauzia watu kilo moja tsh 40,000.shusheni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…