Compare title yako Na title zingine zooote hapa jukwaani. Uwe unatoa details on your title. Unakua kama wale jamaa wa ubungo wanaorekodi tangazo kwenye loudspeaker linasema "ofa ofa of a, nunua simu ina blutus, kamera Na sehem ya memolikadi. Shingi 22,000 tu"