Jihadhari usiingie wala kuingiza wenzio kwenye mtego wa PCCB, maana dhamira yako si njema kabisa. Alafu kama unapesa kiduchu ...unatafuta kazi ya nini? Wengi wanatafuta ajira baada ya kukosa chanzo cha mapato walau kiduchu
Naona hapo mwanzoni kuna mchuano mkali kati ya Natafuta Kazi na M-Mpesa....
Natafuta Kazi anajaribu kutoa ushawishi wa fedha lakini M-Mpesa anachomoa...lol!
naona hapo mwanzoni kuna mchuano mkali kati ya natafuta kazi na m-mpesa....
Natafuta kazi anajaribu kutoa ushawishi wa fedha lakini m-mpesa anachomoa...lol!