Ofa kwako mwanamke mfupi,mweusi

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
4,940
Reaction score
12,514
Chamkieni fursa hiyo haijirudii mara mbili,ofa inaisha mwezi wa nane tarehe nane..
anatafutwa mwanamke wa kuolewa mwenye vigezo hivi

*Uwe mfupi

*uwe mweusi tiiiii

*uwe na kitambi kiasi

*uwe na macho makubwa

*usiwe na pengo hata moja
 
Ila kama wa kafara: Hapo kwenye pengo

Ufupi ndio umenikosesha mme mie kindaki ndaki cheusi...........................Binti africa....

Usisite wewe tuma maombi naweza kukufikiria
 
nikifikiriaga vile watu wafupi walivyo na visilani... hata nikipatiwa bure sichukui!
 
Ndoa siku hizi kwawatoto wakike zimekuwa ofa?? Duh hizi nidharau sanaa kwadada zetu
 
Dah..[emoji23][emoji23][emoji23]ofa imewekwa na kikomo cha muda kabisaa? Hii ndoa/kifurushi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…