OFA! Acer ICONIA B1 kwa 150,000/=Tshs tu

MwanaSaikolojia

Senior Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
197
Reaction score
62
Ipo katika hali nzur na inakaa chaji.. ina ufa kwenye kioo tu ila inagonga kazi zote fresh. Picha yake hii hapa
Napatikana Daresalaam
 

Attachments

  • 1425313029259.jpg
    73.5 KB · Views: 328
  • 1425313079948.jpg
    71.5 KB · Views: 277
  • 1425313093979.jpg
    17.4 KB · Views: 268
  • 1425313145398.jpg
    78.5 KB · Views: 267
Ni Tablet au Smartphone?
Weka specification zake
 
Hebu elezea specifications zake bwana ndio tuangalie
 
Mkuu umeshaiuza au bado?
 
Op p1.
Siku nyngne jitahidi kuleta mrejesho,ktk matangazo ya uuzaji.
Hiyo ndoo inakaa vzuri ili kupngza mention zisizo htajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…