ah mwanamke nae kimeo...wwe mwanaume mika kumi bado hajakuoa unakaa...sii kaukuona kilaza ndio maana anakutumia kama chombo cha starehe....bwana ndani ya miaka miwili mtu anajua goma anafaa au hafai...baada ya hapo ni longolongo tuu. fumbukeni macho wakina dada