PostGE2025 Odero: Si kweli kwamba CHADEMA haitaki Mariadhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Imeleezwa kuwa si sahihi kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na viongozi wako hawako tayari kushiriki maridhiano, badala yake Watanzania na wadau wengine 'wa amani' wanapaswa kutambua kuwa msingi wa kuanzishwa kwa chama hicho ni kupigania demokrasia Kwa njia ya amani jambo ambalo linamaanisha uwepo wa 'mazungumzo'

Hayo yameelezwa na Kada wa chama hicho Odero Charles Odero ambapo katika maelezo yake amesema kwa sasa yeye binafsi amekuwa mstari wa mbele kuwashawishi viongozi na wanachama wa CHADEMA na Watanzania kwa ujumla wake kuanza mchakato wa maridhiano kwaajili ya kuliponya Taifa
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna idadi kubwa ya vijana walemavu wa akili kulinganisha na walemavu wa viungo
 
akaridhiane na mke wake maana nchi kwasasa haina Rais aliechaguliwa ilitakiwa apatikane Rais kwanza ndio turidhianenae huyo mama wanu manyonyo makubwa hatumtambui sisi
Acha matusi dogo
 
Na wakifanya madhiriano mbowe anarejea rasmi chamani
 
....ila njaa mbaya sana ikifika kichwani......huyu ndio alikuwa anagombea uenyekiti taifa...asee hapa chadema wangejua hawajui....hapa walikuwa wanauzwa asubuhi kabisa
 
On my way to "lamba asali"

Hapo anatuandaa kisaikolojia ili siku akihamia airtel awe na kisingizio
 
On my way to "lamba asali"

Hapo anatuandaa kisaikolojia ili siku akihamia airtel awe na kisingizio
alishahamia artel zamani huyo...hata watu wa artel ndio wanamtumia kama chawa wao kwa vazi la vodacom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…