Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Kuna nyingine ilianguka hapa ninapoishi baada ya sekunde kumi ,Vienna pekee ndo ilibaki
makarao+raia=Vienna pekeeNayo ni makarao walibeba? Wataanza kuwapiga sachi huko barabarani. Wako na njaa sana
makarao+raia=Vienna pekee
yeah #police brutalityDuh... mbaya sana hiyo. Wanasababishia watu umasikini na hasara juu ya hasara.
Are they above the law? You people you have to wake up and teach them a lesson.yeah #police brutality
I wish ungeona ile video wakimpiga MCA who is a womanAre they above the law? You people you have to wake up and teach them a lesson.
I wish ungeona ile video wakimpiga MCA who is a woman
Tunaandamana mitandaoniMCA si public representative huyo? Kama wanaweza piga kiongozi tena mwanamke it shows that those cops are cowards and brutal. Na mbona kina mama hawajatoka barabarani ku demonstrate kwa ukatili huo?
tunaandamana mitandaoni
Bora huyo chokoraaYap, nayo inasaidia ku increase awareness na kutambua right zenu. Ila it's not fair... yule inafaa akulinde ndio anapora mali yako! Sasa bora ukutane na chokoraa au polisi?
Bora huyo chokoraa
Hali ni mbaya ,wacha nitafute angalau kapicha nkutumieDuh.. seriously!?.. hali ndio mbaya hivyo? Hivi roughly salary ya makarao inafika sh ngapi kwa mwezi?
Hali ni mbaya ,wacha nitafute angalau kapicha nkutumie