usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
ama kweli huyo kamanda. ukistaajabu ya musa utayaona ya ..........usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
mnataka nisemeje
usiku wa kuamkia leo bwana ibrahim kamanda wa wilaya ya rungwe kavamiwa na kuibiwa pia inasemekama kuwa kaibiwa bastola
ntamaholo kumbe kashangaa nilifikili lbd kakanusha
Hbr toka Rungwe, hbr hzi si za kweli, ocd ameoneshwa post hii amesjangaa sana.
endelea kunywa viloba na uongeze tena na tena tutaona mengi