The Don JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 3,499 Reaction score 1,175 Jun 15, 2012 #1 Aliyekuwa kiongoziwa mashtaka ya I.C.C luis moreno ocampo amepata mrithi atakayechukua nafasi yake,anaitwa fatou bensouda mwanamama kutoka gambia ana miaka 50,ataongoza kwa miaka 9,pia ataendeleza kesi zilizopo hadi sasa
Aliyekuwa kiongoziwa mashtaka ya I.C.C luis moreno ocampo amepata mrithi atakayechukua nafasi yake,anaitwa fatou bensouda mwanamama kutoka gambia ana miaka 50,ataongoza kwa miaka 9,pia ataendeleza kesi zilizopo hadi sasa
I isotope JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 2,392 Reaction score 817 Jun 15, 2012 #2 Loh.., Jaji mkuu wetu Chande wamemmwaga?! Maana naye alikuwa anagombea nafasi hiyo.