Observational study: CCM kubeba ubunge Karatu

Dr Lori alishawahi kukataliwa, na bahati nzuri wale jamaa kule wana mioyo migumu hawabadiliki-badiliki kama wakwere
 
CCM walikula ya mbuzi, sasa wameota mapembe. Kulirudisha jimbo la Karatu katika himaya yao bado wana safari ndefu saana, na tena safari yao siyo hata ya matumaini.
 

MAvi yaoooo
 
Wanasema tusidharau taarifa, lakini jamani hata kama imetolewa na JINGALAO?
Tatizo la pro CDM ni kufanya mambo kwa mazoea. Siasa ya Karatu imebadilika Sana baada kipenzi chao Dr Slaa kutendwa na Mbowe. Wanazi wa CDM wamepoteza imani kabisa,baada ubabe na udikteta wa Mbowe. Ukifika maeneo ya vijijini,habari ni kura kwa mgombea wa CCM kwa ubunge na urais.Karatu nao wanahitaji mabadiliko safari hii.
 
Kumekucha Karatu. C.C.M wanasaka kura kila kijiji,kitongoji,na kila kaya. Sera zao,hasa kwa jinsi walivyoamua kubadilika imeleta matumaini kwa wananchi wa vijijini.
 
Kati ya majimbo yatakayopotezwa na CDM na kurudi CCM ni hili la Karatu. Timu maalum ya CCM imetua Karatu kutathmini hali ya kampeni na mwelekeo wake. Nitarudi..
 
Kwa karatu sahau mm nipo hapa nani mkazi wa karatu.watu wakaratu kurudi ccm ni ndoto .lory ata robo ya kura hapati.
 
Karatu ina kata 13 ccm wakipata kata mbili watakuwa wamefanya kazi kubwa.wanahitaji kazi ya ziada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…