Wilaya ya Karatu ni kati ya wilaya chache za mwanzo zilizokubali mageuzi. Imekuwa ni mfano Wa kuigwa kwa wanamageuzi.Kwa muda mrefu ni marejeo hasa kwa CDM jinsi upinzani ulivyoleta nafuu kwa maisha ya wananchi. Ni Halmashauri ya kwanza kufuta kodi ya kichwa,ya baiskeli(shagingi la mkulima),ya Mama Wafanyabiashara barabarani,ya mifugo.Wengine wakaiga.
Kwa siku hizi za karibini mwamko Wa wananchi umekuwa chini sana kwa CDM baada EL kuingia CDM,hatimaye kuwa mgombea urais. Wana CDM wanashindwa kujibu mashambulizi kutoka kwa watani zao CCM kuhusu ujio Wa EL.Pia CCM kumleta mgombea makini DR Wilbert Lorri. Enzi za CDM Karatu inafikia ukingoni. Ni tahadhari tu kwa CDM mpya.
Dr Lori ni mkazi na mwenyeji Wa wilaya ya Karatu,kata ya Rotya,kijiji cha Kaynam-Rotya,kitongoji cha kaynam- kusini. Ni kweli amejenga Dar,maeneeo ya Changanyikeni,Kama watanzania wengine. Hali halisi ni kuwa CDM karatu siyo shwari kabisa. Wanauliza kwa nini waambiwe asiyetaka yanayoendelea aondoke? CDM wamefanya operesheni nyingi kufikisha elimu kwa umma,lakini kipindi hiki badala ya kuelimishwa,wanakemewa Kama watoto. Chama kimekuwa mali ya Mbowe.Dr. Lorry labda agombee Dar es salam huko anakoishi. Labda CCM wamweke mtu anayefahamu Karatu na ana mapenzi kwa Karatu
Dr Slaa Yuko re-treat baada kuambiwa haya ni mafuriko,Kama huwezi kuogelea chapa lapa.N​goja aje apambane na mzigo mzito wa Dr W. Peter Slaa ndo atajua maumivu ya kushindwa.
Yego, Chikaka Sumuni, na wewe ni mwana Karatu?.Nadhani Huwajui wana Karatu si watu wa kuyumba yumba kama unavyotaka kujinasibu, Tuulize sisi wanakaratu wenyewe tangu enzi za TANU. Tulieni tu sindano iingie. Tunachowashangaa wana CCM ni kubadilika na kuwa maafisa habari wa CHADEMA kuhusu suala la Dk. Slaa. Kama mnao uhakika kwa nini kuanza kutoa siri za ushindi wenu? Ningekuwa upande wenu CCM ningekaa kimya kabisa kama alivyowahi kufanya Mh. Lowassa tangu alipojiuzulu na Bungeni alikaa kimya tu. Leo baada ya kufanya uamuzi sahihi na Uamuzi Mgumu naona mmeanza kuyumba ikiwa ni pamoja na akina Prof. Dr. Bana.
Tuache suala la muda lichukue wajibu wake. "Time will tell"
Ni kweli kwa haya yanayoendelea sasa, Mbowe anataka kuonesha kuwa Chadema ni mali yake, lakini siyo, ndiyo maana nasema muda uliopo ni mdogo, wabunge wapewe kura, baada ya hapo tutaona cha kufanya. Lorry hapati kura za kutosha Karatu, kwani hata hiyo kijiji chake uliyotaja ya Rhotia-Kainam, na kata uliyotaja ya Rhotia anaonekana tu wakati huu wa uchaguzi. Kujenga nyumba Dar sio ishu, ila yeye anakaa huko Dar, kwanini asibahatishe kugombea huko?Dr Lori ni mkazi na mwenyeji Wa wilaya ya Karatu,kata ya Rotya,kijiji cha Kaynam-Rotya,kitongoji cha kaynam- kusini. Ni kweli amejenga Dar,maeneeo ya Changanyikeni,Kama watanzania wengine. Hali halisi ni kuwa CDM karatu siyo shwari kabisa. Wanauliza kwa nini waambiwe asiyetaka yanayoendelea aondoke? CDM wamefanya operesheni nyingi kufikisha elimu kwa umma,lakini kipindi hiki badala ya kuelimishwa,wanakemewa Kama watoto. Chama kimekuwa mali ya Mbowe.
CCM watalichukua jimbo wakichanga karata zao vizuri.
Mi naona kwa vile muda uliobaki ni mdogo, wabunge wa chadema wapigiwe kura popote wanapogombea, hata karatu, ila za uraisi kwa Lowasa hapana. Ziende kwa Magufuli. Lowasa anautaka urais kwa nguvu, na kwa gharama yoyote, kuna walakini na hilo. Hatujui anataka nini hasa. Hakuna sababu ya kupoteza kura kumpigia mtu ambaye ana hila zake.
Karatu,Arusha Manispaa lazima yarudi ccm