Jamaa ameandika stori yake ya ndoa kuhusu kuachana na mke wake amemkandia kwamba mke wake ndo chanzo cha kuvunjika ndoa na mambo mengi tu sema sasa sijaelewa kabisa chanzo cha hio ndoa kuvunjika mana anasema wabongo waishio New York ndo walichangia zaidi ye kuachana na mke wake kwasababu walikua wanamchukia na hajaeleza chanzo cha wao kumchukia mana stori yake hajasema kama alikua na tatizo na mbongo yoyote sasa swali langu uyu jamaa alikua anachukiwa kwa kosa gani mi navojua huwezi kuchukiwa na watu wote bila sababu ya msingi it is obvious le mutuz alikua mpuuzi ndo mana jamii yote ya wabongo New York ikamchukia ni kama bashite tanzania aseme hajui kwanini wabongo wanamchukia wakati anajua ye ni tatizo
Ps: hio ni observation yangu tu kuhusu stori yake don't take it personal
1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe
2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi
5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?
The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!
Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!
Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??
wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako
looser
Pambana na hali yako wewe, Le kokobanga kishapambana vya kutosha. Mke wake keshatoa yake humu kitambo kwahio hana jipya kwa sasa tunasubiri kitabu sie.Jamaa ameandika stori yake ya ndoa kuhusu kuachana na mke wake amemkandia kwamba mke wake ndo chanzo cha kuvunjika ndoa na mambo mengi tu sema sasa sijaelewa kabisa chanzo cha hio ndoa kuvunjika mana anasema wabongo waishio New York ndo walichangia zaidi ye kuachana na mke wake kwasababu walikua wanamchukia na hajaeleza chanzo cha wao kumchukia mana stori yake hajasema kama alikua na tatizo na mbongo yoyote sasa swali langu uyu jamaa alikua anachukiwa kwa kosa gani mi navojua huwezi kuchukiwa na watu wote bila sababu ya msingi it is obvious le mutuz alikua mpuuzi ndo mana jamii yote ya wabongo New York ikamchukia ni kama bashite tanzania aseme hajui kwanini wabongo wanamchukia wakati anajua ye ni tatizo
Ps: hio ni observation yangu tu kuhusu stori yake don't take it personal
Kabisa mkuu afu mbaya zaid na pesa hakunaUwe mwanamke au mwamaume, huwezi kuwa na tumbo kubwa kama la Le Mutuz na ndoa yako ikadumu.
Asante mama Lemutuz kwa kumsema huyu jamaa. Lakini pia nawe hujasema kwa nini Lemutuz alikuacha/mliachana? Vipi bongo family US ilihusikaje na ndoa yenu hadi mkaachana? Tuweke wazi tafadhali
Asipoelewa hapa atakuwa na bichwa gumu mno.
Mkuu ebu fundisheni na encourage vijana wetu wakawa wanaweza kuwa na hoja, kujenga hoja na kuw ana ile 'uanaume' au masculine behaviour!, hauwezi kusoma story ya mwanaume mwenzako, kisha unakuja kuanzishia thread na kuonyesha chuki. Ulichofanya hapa wewe ni mwendelezo ule ule, tabia ile ile, na akili ile ile ya huyo bwana. Mlidhani atapita free tu!! sasa ebu imagine pamoja na kuwa uko nyumba ya keybord, we can only assess your brain kwa andiko lako kama hili!! Litabadilisha nini? maana uko exposed[/QUOTE
Mbona ww mwenyewe unaandika nonsense kwanza unakurupukaa kumjibu mwenzio ilhali yeye kashasema ni observation zake sasa kama ww una zako zitoe zako hatuwez kufanana kwa kikaa jambo na hatuwezi sifiaa kilaa kitu kwa kuwa mtu fulani kakipenda basi na mm nikipende maisha hayako hivyo lazima totofautiane kwenye mambo mengi na tukubaliane katika maisha huo ndo ubinadamu so usijifanye kuwa unajuaa kumu asses mtu while we mwenyewe hujui nini maana ya kuasess unaonekana una point za maana ila ujibuji wako umejibu kwenye sehemu isiyohusika umeboreee, ww kama umeisoma unaaminije kama ni ya kweli yote??
Kuna mtu kajibu kwa uchungu humu utadhani yeye ni mzazi wa kike wa jamaa
Mbona we mwenyewe unaandika nonsense yeye kasema ni
Hahah! sawa mkuu nimekuelewa mana asubuhi yote hii tukianza taarabu hapa itakua sio issue. Sorr kama nimekukwazahauwezi ukasoma story ya mwanaume mwenzako, kuanzia mwanzo mpaka mwisho kisha ukaja kuanzishia thread hapa!! ebu fikiria akili hiyo, ya kike!! vijana mna vi element vingi sana vya ukikekike, tutawafundisha mtu at least mkivaa suruali muonekane mnafanana na wazee wenu
Umemnyoosha kubabeq [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe
2. haujaelewa chanzo cha ndoa kuvunjika, (ulitakiwa kuuliza, au soma tena)
3. umefanya vizuri sana kuuliza alikuwa anachukiwa kwa kosa gani -hongera
4. obvious....na uka conclude, umeishajibiwa swali? obvious ume fanya citation ipi? basis ya conclusion zako ni nini? ( refer waliomchukia, na angaia na wewe unachofanya, haoni mnaangaukia kapu moja), wivu, chuki na predetermined judgement! wabongo wengi mko hivyo ni wachawi
5. who is bashite? anaingia vipi kwenye hii story?
The fact that umefuatilia story yake mpaka hatua ya sasa, ni uthibitisho tosha kuwa ubongo wako, energy yako, uwezo wako na muda wako uli u dedicated humbly to Lemutuz!!! kama game hapa mkuu umejidhalilisha sana, unafuatilia story ya mtu, kuanzia A to Z, kuliko quran wala biblia, wakati unafuatilia ulikuwa peke yako ( tena ulikuwa mpaka unakesha!!)...unataka sasa uanze kumponda kwa kutafuta platform ya haters wengine kama wewe waje tu!!
Imagine unafuatilia hadithi ambayo wala haukuwahi kujua kuwa itakuja, mshukuru ame ku keep busy!
Mbona kaandika vingi mkuu, umeona eneo hilo tu??
wewe ni mtumwa wa kila kitu, kwenye brain umeshaingia tunduni umesoma weeee! halafu unataka tuchangie hisia zako
looser
Bado hujamuekewa kabisa huyo jamaa,otherwise umeandika ili uonekane umeandika tu,hii tunaita tabia ya panya popote apitapo aidha atakun.ya au kukojoa ili ujue tu kwamba alikuwepo eneo hilo....jaribu kurudia alichoandika huyo jamaa tena rudia kwa umakini mkubwa utamuelewa,otherwise na wewe unaangukia kwenye kundi la mtoa mada!Asante mama Lemutuz kwa kumsema huyu jamaa. Lakini pia nawe hujasema kwa nini Lemutuz alikuacha/mliachana? Vipi bongo family US ilihusikaje na ndoa yenu hadi mkaachana? Tuweke wazi tafadhali
mzee baba nimeshasema don't take it personal nimesoma stori yako kweli nmevutiwa na uandishi ndo maana nikaisoma na ni nzuri sana stori yako1. unatumia ID feki, in other words hatukufahamu kabisa , mwenzio anajulikana na unajua ni nani na came out boldly to write the facts, so wa kuja kupinga ni aliyekuwa mkewe