P poa tu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 1,173 Reaction score 1,657 Dec 25, 2017 #2 Nilifikiri nini sijui. Acha kukariri maisha mtoto wa sebuleni
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,292 Dec 25, 2017 #3 Kamuulize mzee akili mali
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 6,313 Reaction score 5,265 Dec 25, 2017 #4 Kwahiyo akilima mpira umememshinda dah Bongo bwana
M mkuha84 New Member Joined Jun 12, 2017 Posts 2 Reaction score 3 Dec 25, 2017 #5 Safi sana chirwa, usitegemee kazi moja
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,053 Dec 25, 2017 #7 Omog kaenda kuomba kazi hapo. Chirwa bado anatafakari kama ampe ajira au la?
G Gne gner JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 501 Reaction score 278 Dec 25, 2017 #8 py thon said: Click to expand... Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo
py thon said: Click to expand... Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo
mwangalingimungu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,301 Reaction score 733 Dec 26, 2017 #9 Gne gner said: Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo Click to expand... Nadhani ametuma picha hiyo kimkakati. Anawahimiza viongozi wa Yanga kumtumia hela iliyobaki ya usajili ili aongezee pembejeo!
Gne gner said: Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo Click to expand... Nadhani ametuma picha hiyo kimkakati. Anawahimiza viongozi wa Yanga kumtumia hela iliyobaki ya usajili ili aongezee pembejeo!