Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Obama hawezi kumaliza rushwa Kenya, bali serikali ya Kenya na wananchi wake ndio wanaweza kuitokomeza kwa kiasi fulani....Nishachoka na hizi habari za nchi zetu za Afrika kutegemea kusaidiwa na mataifa ya magharibi argh!!!!.
Kama Obama atamteua mama Clinton kuwa sec of state nina wasiwasi na sera ya "kuongea na maadui" kama itafanikiwa. kumbuka mama alikuwa anapinga kwa nguvu mno Raisi wa marekani kuongea na viongozi kama Ahmednejad, au Chavez, sasa sijui itakuwaje pale raisi na sec of state wanapokuwa na falsafa tofauti juu ya kudili na ishu kama hii. je mama akitumwa na Obama akaongee na viongozi hao atatii na kufanya kazi kwa moyo mkunjufu?.
hii nafasi kwa nini asimpe mmoja wa washauri wake wa masuala ya kimataifa?. anyway ngoja tusubiri tuone,
Kama Obama atamteua mama Clinton kuwa sec of state nina wasiwasi na sera ya "kuongea na maadui" kama itafanikiwa. kumbuka mama alikuwa anapinga kwa nguvu mno Raisi wa marekani kuongea na viongozi kama Ahmednejad, au Chavez, sasa sijui itakuwaje pale raisi na sec of state wanapokuwa na falsafa tofauti juu ya kudili na ishu kama hii. je mama akitumwa na Obama akaongee na viongozi hao atatii na kufanya kazi kwa moyo mkunjufu?.
hii nafasi kwa nini asimpe mmoja wa washauri wake wa masuala ya kimataifa?. anyway ngoja tusubiri tuone,
Hillary Clinton, and her husband, should fade into oblivion and enjoy that presidential pension.
America has seen enough of oversized egos and family dynasties, even the Chinese did away with Kingdoms.
Aaww hell naw!!!! The Clintons aren't going nowhere....
Wewe The Truth wacha porojo kama Nagin angekuwa ameharibu asingekuwa re-elected...wacha kuleta ubaguzi.
Two sources close to the Obama transition team tell CNN that Senator Hillary Clintons name has been mentioned as a possible candidate for Secretary of State.
One source close to Hillary Clinton tells CNN that as of early yesterday, Senator Clinton had not been contacted by the transition team about a possible cabinet appointment. This same source tells CNN that Senator Clinton would not necessarily dismiss such an offer.
A spokesman for Hillary Clinton, Philippe Reines, tells CNN Any speculation about cabinet or other administration appointments is really for President-Elect Obama's transition team to address.
On Monday night, while walking into an awards ceremony in New York, Senator Clinton was asked if she would consider taking a post in the Obama administration. She replied, "I am happy being a Senator from New York, I love this state and this city. I am looking at the long list of things I have to catch up on and do. But I want to be a good partner and I want to do everything I can to make sure his agenda is going to be successful."
And watch this space, with all that talk Obama is not going to include Clinton in his administration.
And if he will I will write him off.
Good for the priest.....[/Bad for cathoric church...........
"cathoric church" ndio likoje?
Icadon,
I agree with you one hundred percent when it comes to poeple wanting
to sit back and expect handouts.However a deeper analysis int the scene
utakuta kua sio mwananchi wa kawaida ambaye ana akili ya namna hii.Ila ni
viongozi wetu ambao wanasubiri hela ya misaada inapowasili kish wanaitia
mfukoni.Mlalalahoi kehsazoea hali hii na ni 'hustler ' kivyake.
Point yangu ninapoilenga the Obama administration ni kutaka misaada
iongezeke in terms of humanitarian/social services.Na pia kua na an
aggressive way of monitoring the funds so that people are held accountable.
Mifano ni kama kile kiwanda cha kutengeza Mosquito nets ambacho Bush
alitembelea alipokuja Bongo.Kuimarisha shule sehemu za vijijini by building
structures and supplying basic stuff like books.This is something missionaries
have been doing for a long time.All they need is a little govt help and they
can get book donations from their churches. Kuna miradi ya kuchimba visima
vya maji in the rural areas that are arid or semi arid.
So if donor funding comes through the world bank or IMF it should be earmarked
specifically for these kind of projects.
Another strong point is for the continent of Africa to be given its fair share
of hearing at the world market.Ukweli ni kwamba our products are sold for
way less than they value and some markets are specifically closed for African
buinesses.The mineral trade, the coffee trade and the sugar trade are a few
examples.
Kisha pia kuna ishu za strengthening the pillars of our young democracies in
Africa.The power of the ballot box should be respected at all costs na michezo
kama ile ya Kibaki al'ocheza Kenya na Mugabe anacheza Zimbabwe
should not be entertained at all costs.
Kuna kitabu kiliandikwa na jamaa anaitwa Walter Rodney..."How Europe
Underdeveloped Africa"..It has stuck with my mindset for a long time. Even
while we engage these capitalist economies, of which we are unfortunately
entwined, tukumbuke wanatufaidi wao
Good for the priest.....[/
"cathoric church" ndio likoje?
who cares????
...Ridiculously unreasonable, ukisikia upuuzi ndio huu!! Hawa conservatives hii debate ya abortions inawashinda wanaanza kutishia watu na vitu vya kufikirika (dini).....hivi nani mwenye sound mind na mental stable cares juu ya communion?
....halafu hili babu pia baguzi, lina tumia mwavuli wa dini kusambaza sumu yake kali...
...Ridiculously unreasonable, ukisikia upuuzi ndio huu!! Hawa conservatives hii debate ya abortions inawashinda wanaanza kutishia watu na vitu vya kufikirika (dini).....hivi nani mwenye sound mind na mental stable cares juu ya communion?
....halafu hili babu pia baguzi, lina tumia mwavuli wa dini kusambaza sumu yake kali...
..sikuwa naongelea uislamu au ukristo!! kwa taarifa tu mie dini zote ni upuuuuuzi kwangu!! hivi unadhani waislamu msimamo wao upoje kuhusu abortion??? wewe na huyo pastor wako (mjinga mjinga) wote ni libs kwa msimamo wa waislamu juu ya utoaji mimba!!!
unachemka, suala hapa ni utoaji mimba!! hayo mambo ya pedophilic prophet (ambaye nadhani alikubashia wewe na memba woooote wa kiume ktk familia yako...ofkoz, ushahidi ninao) alikuwa hausiki hapa.....
......nilichokuwa nasema, mtu yeyote anayeshikiwa akili na "mchungaji au sheikh" ktk suala kama abortion basi ni juha!
sawa mie nime-data na wewe ni mzima!!
naenda zangu kuangalia 007 saa hii, wewe kata issue utubadilishie Tanzania na Dunia kwa ujumla.....ijumaa njema.
hadithi tu hizo....
makelele tupu! unaanza kuingiza ma-emotions, hivi wewe kumwita mtume wa mungu pedophile unaona sawa?
get a life, haya mambo ya dini unajiyeyusha tu.......
makelele tupu! unaanza kuingiza ma-emotions, hivi wewe kumwita mtume wa mungu pedophile unaona sawa?
get a life, haya mambo ya dini unajiyeyusha tu.......