Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,197
- 144,078
Smh!! Bye Obama I miss you already.
Eti jirani ulipata 4inches snow kwako Saturday [emoji4][emoji36]
Nimesikiliza hotuba yake naona jamaa bado kama anapendwa sana na wamarekani walio wengi........
Jamaa kila akiongea watu wanamshangilia sana ....
Au kwa vile alikuwa nyumbani Chicago?......
Naona watu wengi wakim miss huyu jamaa pale Trump atakapoingia.............
Hmm...zile hazikufika inchi nne aisee.
Ila kulikuwa na barafu kiasi cha kumfanya bi mdogo na mashosti zake wafanye sledding huku kwa backyard....
We ulipata inches ngapi?
Halafu jinsi hii weather isivyo na adabu eti kesho tutakuwa kwenye mid 60s na by weekend mid 70sπ.
You gotta love the A!
Yes naona aliamua kwenda chato yao ili awe comfortable....Huo ukumbi ulikuwa umejaa mashabiki wake tu.
Hmm...zile hazikufika inchi nne aisee.
Ila kulikuwa na barafu kiasi cha kumfanya bi mdogo na mashosti zake wafanye sledding huku kwa backyard....
We ulipata inches ngapi?
Halafu jinsi hii weather isivyo na adabu eti kesho tutakuwa kwenye mid 60s na by weekend mid 70sπ.
You gotta love the A!
That was barely 1/2 an inch, and they were like it was bad huko downtown but I went to the airport na Smyrna kote huko hakukuwa na lolote la kutisha.
meteorologists straight played us on our faces for days! Though naweza kuwaelewa state/companies wanakwepa dhahma za kulipa wananchi insurance later.
Wananchi walifura balaa hahaa!
70s to 20s hii winter haisomeki kabisa