Obama's farewell address....

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,497
119,407
Next week his time will be up and there will be a new sheriff in town.

How time flies.

Not a fan of his but so long Mr. President.

I'm not gonna be a grinch tonight. I'll give the devil his due.

On balance you did America proud.

So farewell and godspeed in the next chapter of your life.

IMG_5110.JPG
 
Smh!! Bye Obama I miss you already.
Eti jirani ulipata 4inches snow kwako Saturday
 
Hmm...zile hazikufika inchi nne aisee.

Ila kulikuwa na barafu kiasi cha kumfanya bi mdogo na mashosti zake wafanye sledding huku kwa backyard....

We ulipata inches ngapi?

Halafu jinsi hii weather isivyo na adabu eti kesho tutakuwa kwenye mid 60s na by weekend mid 70s:D.

You gotta love the A!
 
Nimesikiliza hotuba yake naona jamaa bado kama anapendwa sana na wamarekani walio wengi........

Jamaa kila akiongea watu wanamshangilia sana ....

Au kwa vile alikuwa nyumbani Chicago?......

Naona watu wengi wakim miss huyu jamaa pale Trump atakapoingia.............
 
Huo ukumbi ulikuwa umejaa mashabiki wake tu.
 
Hmm...zile hazikufika inchi nne aisee.

Ila kulikuwa na barafu kiasi cha kumfanya bi mdogo na mashosti zake wafanye sledding huku kwa backyard....

We ulipata inches ngapi?

Halafu jinsi hii weather isivyo na adabu eti kesho tutakuwa kwenye mid 60s na by weekend mid 70s:D.

You gotta love the A!

That was barely 1/2 an inch, and they were like it was bad huko downtown but I went to the airport na Smyrna kote huko hakukuwa na lolote la kutisha.
meteorologists straight played us on our faces for days! Though naweza kuwaelewa state/companies wanakwepa dhahma za kulipa wananchi insurance later.
Wananchi walifura balaa hahaa!

70s to 20s hii winter haisomeki kabisa
 
Hahah nyie mtakuwa east coast tu...poleni sana!

Back
Top Bottom