Obama ameshaanza kazi ya kuchaguwa, kwanza anafunga miskiti, kamata ma sky sraper.
Mwenye akili anaelewa ni wapi B H O anaelekea.
Obama has already made choice i.e. Israel wala asingefika huko kama siyo backing za waisrael...na hivi anapenda madaraka hana namna. namna pekee haki kupatikana ni fight, fight, fight..haya mambo ya kukutana na wanafiki hayana maana. lol wakiuumia kidogo watakuja mezani wakiwa wametia akili..
First of all it is already known where Obama and his administration stands. Secondly, it sounds like what's his name is trying to force Obama to be on the side of Iran. Hehehe kaishiwa huyu mtu.
Obama ana akili sana kuichagua Israel,Kila mwenye akili huwa anachagua upande wa washindi.He made a wise decision!Hatajuta!