SPANERBOY UDZUNGWA
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 622
- 124
Mmmmmm,,,,,mr Obash,,,just visiting these three or four country of Africa,,,,without
bringing any difference to them,,,just some,,,,,,empty speeches,,,,as usual.
We deceived ourselves that,,being the first American president of African decent,,
that we were going to see some difference in how the west has been treating
Africa,,,,but what have we been getting,,,, only empty speeches and preachings,,
which doesn't make any difference to any one in,,,,,,,,, Africa.
So to hell with him,,,,he can even go for an African tour where he visits all
African countries,,,except Kenya,,,and see if that can cause,,,Kenyans to
suffer.
We are smarter than he thinks,,,,refusing even to visit his grandmother
for the simple reason,,,,that,,cousin Raila never became the president
as he had,,,programed,,let him first,,,solve all the problems facingthe
America before the end of his term,,,,,and leave us alone,,for only us
can solve our problems.:yell:
Pain? Last time he came did he help me pay my bride price?
Obama ni mkurya wa tarime'sirali'
Wivu kiroho papo ni sifa ya wakenya wengi ila hainahaja ya kuwa hukumu kwa hilo,leo mchana nimeskiliza DW idhaa ya kiswahili wamesema kunaafisa mwandamiza katika white house hakutaka jina lake litajwe amekaririwa akisema walipata shida sana kupanga safari za Obama Afrika hasa nchini Kenya kutokana nakesi inayowakabiri Uhuru pamoja na mwenzie Ruto ktk mahama ya iccRais Obama haendi Kenya .kwa nini wakenya wanasema kisa ni mjaluo Mara wakikuyu yupo in power Mara Tanzania washamba Yaani ukisoma blog zao wamechanganyikiwa kwa ujio Huu.ukabila unaingiliaje na Obama ,Nyie mnaona sababu gani Obama by passed Kenya .
toka hapa muraahh,Obama ni mjaluo wa Shirati Rorya kwao nipale sokolaboro...!!!
na ndipo nilipo sasa
nashangaa wanaofurahia obama kuja tz,hv ujio wa wake unamaanisha nn?na kama haend kenya et kwa sababu odinga alikua kibaraka wao na alishndwa kwenye uchaguzi,bas kumbe anakuja tz sababu kuna viongozi wanaofavour maslah ya marekan na washlika wake.mm sion sababu ya kufurah et obama anakuja.obama haj kushusha naul wala bei ya mafuta na hal ngumu ya maisha kwa watanzania.
obama haendi kenya kwa sababu uhuru kenyata kachaguliwa kua rais wa kenya na magharibi walikua hawamtaki sababu alikua ana kesi kwenye mahakama zao kwa lugha rais unaweza sema wali mtengenezea mazingira ondinga awe rais but haikua kwao ni fedheha sana kwa kuja kenya ni kujitafitia matatizo
You sound so emotional ,sorry
hata angekuwa anakuja kututandika viboko ..ila jirani yetu roho inamuuma kwanini haendi kwao...jirani siku zote huwa anajiona yuko juu yetu kwa kila kitu soo anashangaa kwanini sie choka mbaya tunaheshimika na ulimwengu unakuja kuchota busara zetu...
Ni sawa na tajiri ana mtoto wa kike na kila kitu ila haolewi ila watoto wa jirani yake ambao yeye anawaona ni masikini wa kutupa wanaolewa tena na mabwana wa kishua toka magharibi ya mbali na heshima zinaenda nyumbani kwa jirani na sio kwake tajiri.
Yeye obama aje...achukuwe uranium, gas, na utajiri wetu ila kwanini mtani jirani roho inamtoka??