OBAMA tila lila

lazima asheherekee kumpiga chini Romney haikuwa kazi ndogo ati!
 
Eti ndo awakumbuke waafrika kwa staili hii.....afrika mnashangilia km vile raisi wenu
 
hizi bia nyeusi nyeusi noma,kule uchagani wanakunywa Eagle nyeusi na half-keki,inaongeza stimu.
 
huwa najiuliza watu wasiokunywa pombe wana raha gani duniani!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…