Obama katika katuni

There is no wonder Kenya has stronger economy than ours. tumekalia mipasho tu. uswahili mwingii utafikiri nchi nzima wanawake.
halafu wee Mzalendokweli, kwani waswahili ni wanawake tuu, siku hizi wanaume wanaongoza kwa majungu
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Wakenya wamekasirika kweli mtoto wao kupita nyumbani kwao kwa kasi huku amenuna, na kuingia nyumba ya pili kusalimia huku akikenua meno yote 32 na vicheko kibao.Jana kwenye NTV mfanyabiashara wa Kenya Mkikuyu Kirubi ati naye kasusa kuja TZ alikoalikwa kwa kuwa eti kwanini apite kwao bila ''kuwasalamia'',na alipoambiwa kuwa Obama amekwepa kupita kenya kutokana na kuwa viongozi wao wana kesi ,akasema ah si ni watuhumiwa tu na akasahau ule usemi maarufu wa Farao kuwa ''mke wa mfalme hatakiwa kutuhumiwa''
 
There is no wonder Kenya has stronger economy than ours. tumekalia mipasho tu. uswahili mwingii utafikiri nchi nzima wanawake.

NIMEIPENDA HII. Ni kweli kabisa Mzalendo wa kweli.
Big up kwa wazo zuri.
 
Tanzania ni wakarimu sana atapewa madhahabu, gesi hata akitaka tembo atapewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…