Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Picha nzuri sana hasa ya wakina Clinton lakini kwanini huwa hawa host scientists, teachers, doctors na engineers? Kwasababu hawa jamaa wana impact kubwa sana kwenye jamii kuliko hawa Stars. Fikiria impact ya computer scientists waliotengeneza Page Rank algorithm ambayo tunaitumia kila siku ku-google.
yaani umenichanganya kabisa na mambo sijui ya algorithm