ile conference ya obama ilikuwa inahusu good governance and democracy,sasa ile report iliyokuwa presented in u.s. congress na LHRC kuhusu mauaji ya raia,mwandishi wa habari mwangosi,kutekwa kwa dr.ulimboka na issue ya iran imemuharibia sana mkulu aliyekuwa anajisifu kwenye jamii ya kimataifa kwamba tz is a democratic nation,ndo maana hakuitwa.Jaribu kujiuliza,when obama took office for the first time as a U.S. President,he met him in the white house,jk being the first african leader to meet obama at that particular time,na ccm wakajaisifu sana bungeni kwa hili wakisema ni kwasababu ya good governance ya jk,leo hii mbona hakuitwa.