Atimuliwe mjinga tu anafanya kazi ya kuua walibya ili waibe mafuta nothing else
Atimuliwe mjinga tu anafanya kazi ya kuua walibya ili waibe mafuta nothing else
hamjui vizuri siasa za marekani
obama atashinda tena
marais watatu tu ambao walishindwa uchaguzi marekani...
wenye nchi,ambao ni matajiri na wayahudi wamilikiwa vyombo vya habari wakishaamua
nani awe rais ndio hivyo hivyo
wayahudi wameshaaamua obama aendelee na ataendelea

Mtu ambaye hajui siasa za U.S.A anaweza amini tu alichosoma kwenye thread.Wamarekani wengi they dnt bother to know foreign policies than internal policies wakati Congress and Senate ndo kazi kubwa wanayoifanya so has to protect and strengthen its hegemony arround the global.
Watu wengi hasa waafrika walifulai OBAMA kuwa raisi ingawa hawakujua na hawaijui vizuri Marekani inachezaje karata ya siasa ingawa wengi waridhani kuwepo kwake kutasaidia kupata misaada kumbe wao U.S.A nikurinda nafasi yao muhimu kwenye Dunia kitu ambacho Obama ameweza ingawa kwa siasa za ndani hajafanikiwa vizuri.IKUMBUKWE BUSH ALITENGEZA MAADUI WA USA THEN OBAMA ALIKUJA KUTENGENEZA NA KULINDA MARAFIKI kitu ambocho ameweza abt 45% Ukitaka kujua siasa za USA vizuri source nzuri hizi hapa ingawa ni vitabu 1.WE THE PEOPLE, concise intro.to usa politics,POINT OF VIEW and World Politics at Int.Level etc
Definetly you are more than right cause every mweusi should know Swahili well.Hey, aloo...mbona Kiswahili chako cha kuandika kibaya hivi? Mimi siamini unayoandika kwa sababu tu unasema- walifulai,waridhani, nikurinda....vipi nitakuamini?
Mbona hufanyi makosa hayo katika Kiingereza? Mtu mweusi bwana, hathamini chake!
Definetly you are more than right cause every mweusi should know Swahili well.
whether they choose him or not it does not matter to my conclusion. Obama is a failure president. I believed that before campaign last election and I still believe it now!....and for good reasons...