Obama diagnosed with heartburn

Obama diagnosed with heartburn

R.i.p obama. Nilikupenda lakini ushoga ulikupenda zaidi hivyo sikuhitaji tena. Ni bora atawale mzungu anayepinga ushoga kuliko mweusi anayeunga mkono ushoga
 
mimi si shabiki wa obama kabisa. naomba nisichangie chochote manake nitachafua hali ya hewa hapa.
 
Anaumwa koo mhhh, au labda naye anakula koni ndio maana koo linauma. Kwa mujibu wa tafiti kansa ya koo inaongezeka kwa kasi kutokana na watu kuendekeza ngono za mdomoni.
 
Obama ni rais wa taifa kubwa kiuchumi kijeshi nk.If something happen to a president of USA Vice President takes over na huyo vice ni nani ? joe Biden ( a joke ) ,Stock market will suffer and you will suffer too .

Well, Joe The Biden was not a VP by chance. If Obama (who is now a joke) dies, US will not change a single bit. Stock markets will shake.

Nchi ambazo zina miundo inayofanya kazi mabadiliko ya ghafla ya uongozi hayavurigi nchi.

I would kneel down praying for Tanzania, not for Obama.
 
Xwez Muombea Mema Bora Afe Wao Wanaua Maelf Ya Watu Dunian Mara Ebola Mara Vita
 
afe tu, anashndwa kuwalinda weus wanauliwa na polisi wa kizungu, pmbaf zake.

hakuna kifo kimenisikisha kama cha eric garner.
 
Anaweza kuja Muhimbili kufanyiwa upasuaji na bed rest kama mkulu alipoenda John Hopskin?
 
Yani niache kuombea wana familia yangu wagonjwa nimwombee mtu nisie mjua??
 
Mimi nilidhani heartburn ni kiungulia....kwa kusoma heading , nilishtuka nikajua, Miss Obama kashibishwa kweli maharage.
 
Back
Top Bottom