Obama Awatakia Waislamu Ramadhani Njema....Way to go Mr President | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama Awatakia Waislamu Ramadhani Njema....Way to go Mr President

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Aug 22, 2009.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Aug 22, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  http://www.youtube.com/watch?v=1R4KfYuDrvU&eurl=http%3A%2F%2Fwww.huffingtonpost.com%2F2009%2F08%2F21%2Fobama-ramadan-message-may_n_265134.html&feature=player_embedded


  As the new crescent moon ushers in Ramadan, the President extends his best wishes to Muslim communities in the United States and around the world.

  Each Ramadan, the ninth month on the lunar calendar, Muslims fast daily from dawn to sunset for 29 or 30 days. Fasting is a tradition in many religious faiths and is meant to increase spirituality, discipline, thankfulness, and consciousness of God's mercy. Ramadan is also a time of giving and reaching out to those less fortunate, and this summer, American Muslims have joined their fellow citizens in serving communities across the country. Over the course of the month, we will highlight the perspectives of various faiths on fasting and profile faith-based organizations making real impacts in American cities and towns.


  This month is also a time of renewal and this marks the first Ramadan since the President outlined his vision for a new beginning between America and the Muslim world. As a part of that new beginning, the President emphasizes that our relationship with Muslim communities cannot be based on political and security concerns alone. True partnerships also require cooperation in all areas - particularly those that can make a positive difference in peoples' daily lives, including education, science and technology, health, and entrepreneurship - fields in which Muslim communities have helped play a pioneering role throughout history.


  The President's message is part of an on-going dialogue with Muslim communities that began on inauguration day and has continued with his statement on Nowruz, during trips to Ankara and Cairo, and with interviews with media outlets such as Al Arabiya and Dawn TV.

  As this dialogue continues and leads to concrete actions, the President extends his greetings on behalf of the American people. Ramadan Kareem.
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  Aug 22, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=1R4KfYuDrvU[/ame]​
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Jakaya mbona kauchuna?
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Yuko mikoani anabembelezea kura 2010
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Rais Obama alipowafuturisha waislamu White House Wednesday, September 02, 2009 5:27 PM
  Rais wa Marekani Barack Obama katika kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhani jana jioni aliandaa futari kwaajili ya waislamu wa Marekani. Rais Barack Obama wa Marekani jana jumanne aliandaa futari kwaajili ya waislamu iliyofanyika ndani ya ikulu ya Marekani na kuwaambia waislamu kuwa 'Uislamu ni sehemu ya Marekani'.

  "Uislamu ni dini kubwa, yenye malengo ya kuleta haki na maendeleo" alisema rais Obama na kuwataka watu wa dini zote kushikamana na kutunza heshima baina yao.

  Rais Obama alisema kwamba waislamu wa Marekani wamekuwa wakichangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya jamii za Marekani na Marekani kwa ujumla.

  "Miaka michache iliyopita, mito, mabonde maziwa na mabwawa yalipewa majina tofauti tofauti, lakini yote haya yanawakilisha maji kama ilivyo kwa dini kwani zote zinawakilisha imani", alisema Obama.

  Rais Obama alisema kwamba kwa mara nyingine katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani juhudi za kuimarisha uhusiano kati ya Marekani na Waislamu duniani zinaweza zikafufuliwa tena.

  Akimwongelea msichana wa kiislamu Bilquis Abdul-Qaadir, ambaye alivunja rekodi katika mpira wa kikapu kwa kujikusanyia zaidi ya pointi 3,000 akiwa kama mchezaji wa shule moja ya sekondari ya mjini Massachusetts, Rais Obama alisema: "Abdul-Qaadir anatoa changamoto si kwa vijana wa kiislamu pekee bali kwetu sote".

  Viongozi wengi wa serikali ya Marekani pamoja na wanadiplomasia wakiwemo mabalozi wa Palestina na Israel ni miongoni mwa watu walioalikwa na familia ya Obama kwenye futari hiyo ya pamoja.

  Rais aliyemtangulia Obama, George W. Bush na yeye pia alikuwa akiandaa futari maalumu kwaajili ya waislamu katika ikulu ya Marekani katika kila mwezi wa ramadhani wakati wa utawala wake.

  Picha zaidi Gonga hapa http://www.nifahamishe.com/photos_news.aspx?topic=177&&NewsId=769
   
 6. S

  Shamu JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2009
  Joined: Dec 29, 2008
  Messages: 511
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thomas Jeferson alikuwa na Qur-an. Hiyo ni moja ya sababu iliyoifanya USA iwe nchi bila ya kubase na dini yoyote. USA principal "All humans Are equals, have life and the right to pursuit of hapiness" T. Jefferson.
   
 7. m

  matambo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  "Uislamu ni dini kubwa, yenye malengo ya kuleta haki na maendeleo" alisema rais Obama na kuwataka watu wa dini zote kushikamana na kutunza heshima baina yao.
  huo ndio ukweli japokuwa watu wenye fikra poyofu juu ya uislamu na waislamu wanaupindisha
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hayo ni maneno ya siagi ambayo Obama anajaribu kusema ili kujiweka ktk nafasi ya karibu na wasilamu, lakini ukweli unaojulikana duniani pote ni kuwa waislamu ni watu washari wenye zero tolerance lakini wao wanataka wawe tolerated kama mayai. Mifano ipo kila kona.
   
 9. B

  Bad Seed Member

  #9
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pshhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.... this coming from a person who cant tolerate other peoples religion...

  Get A life Boy.
   
Loading...