Obama apokea saluti

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
35,119
Reaction score
60,851
Rais Obama ameshutumiwa kwa kupokea saluti huku ameshika kikombe cha kahawa, wengi wamelaumu na kusema si heshima kwa wanaomlinda na huku wengine wakisema madaam kaipokea ni ishara tu ya kumwambia askari asante unaweza kushusha mkono.
Wengine wameenda mbali na kusema mbona hata Bush alitoa saluti kwa mbwa (lakini ingawa hakuwa na kusudi hilo)

SOURCE: Washington Post
 
Video yake nimeipata ABC news

[video]https://www.facebook.com/video.php?v=10152760927843812[/video]
 
Haya ndio maudhui sitii mkono. What about discussing Obama's speech at the UNGA?
 
Mkuu haya ndio matatizo ya kumpa MJALUO KAZI Asio ijua.
Hawa Wajalua hata kuimba taarabu hawawezi.
Kazi waijuayo ni kucheza muziki siku ya Mazishi.
Na kung'oa meno ya chini.

Teh teh teh teh.
 
Mjaluo yupo poa sana. Anawalisha ngoma wstu kibao.

Mkuu haya ndio matatizo ya kumpa MJALUO KAZI Asio ijua.
Hawa Wajalua hata kuimba taarabu hawawezi.
Kazi waijuayo ni kucheza muziki siku ya Mazishi.
Na kung'oa meno ya chini.

Teh teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…