J jdkisiwa Member Joined Dec 19, 2012 Posts 14 Reaction score 6 Jul 2, 2013 #1 hatimaye Dar inarudi katika asili yake, Obama akirud ghafla atahis amepelekwa sehem nyingine, hatoamini huo uchafu, folen, wamachinga, harufu, umeme umekatika, maji hamna, mgomo wa waalim na madoctor naaaaaaa enh! ngoja nifanye yangu mie
hatimaye Dar inarudi katika asili yake, Obama akirud ghafla atahis amepelekwa sehem nyingine, hatoamini huo uchafu, folen, wamachinga, harufu, umeme umekatika, maji hamna, mgomo wa waalim na madoctor naaaaaaa enh! ngoja nifanye yangu mie