kbm JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 5,224 Reaction score 1,687 Oct 25, 2013 Thread starter #2 Hii ni baada ya Bi Angela kukuta sms zake zimesomwa na Obama. Obama alikuwa na tabia ya kufanya udakuzi wa mawasiliano ya simu ya Angela kila mara' imebainika!
Hii ni baada ya Bi Angela kukuta sms zake zimesomwa na Obama. Obama alikuwa na tabia ya kufanya udakuzi wa mawasiliano ya simu ya Angela kila mara' imebainika!
bonna JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 855 Reaction score 520 Oct 25, 2013 #3 ahahaha...labda anamtaka jamani si kila time ni mambo ya politics...sometimes kuna matters of the heart
ahahaha...labda anamtaka jamani si kila time ni mambo ya politics...sometimes kuna matters of the heart
Mseti2007 JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 493 Reaction score 175 Oct 25, 2013 #4 Chezea mtoto wa kiafrika wewe.
byembalilwa JF-Expert Member Joined Aug 7, 2012 Posts 2,066 Reaction score 951 Oct 25, 2013 #5 kumbe!