You can read the entirety of Obamas remarks below which has made Kenyans stomach churn, courtesy of the White House press office. I find quite unfair.
Obama atakuwa anaiongelea Kenya ya 2007/08 siyo Kenya ya leo ambayo ameipongeza kwa kufanya uchaguzi kwa amani kabisa..inabidi tuwe tunatafakari kwanza kabla ya kurukia mambo..............
Wakenya sasa wataijua vizuri Marekani. Kuna hatihati uchumi wa Kenya kuyumba. Kadhalika kuna uwezekano Kenyatta kutomaliza muhula wake, au kutumikia muhula mmoja. Ndoto za Raila kuwa Rais bado zipo.