ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
...Mpuuzi tu..
...Mpuuzi tu..
Wakenya sasa wataijua vizuri Marekani. Kuna hatihati uchumi wa Kenya kuyumba. Kadhalika kuna uwezekano Kenyatta kutomaliza muhula wake, au kutumikia muhula mmoja. Ndoto za Raila kuwa Rais bado zipo.
Obama au mleta mada.
Nahisi hadi sisi wachangiaji
Jamani mbona yuko sahihi. Kule kaskazini mashariki Garissa kuna waandishi wa habari walitekwa. Mombasa na Lamu inabidi waingie kuripoti kimahesabu. Akisema ukweli wanalalamika.
This year alone, reporters have exposed corruption here at home and around the world. Theyve risked everything to bring us stories from places like Syria and Kenya, stories that need to be told. And theyve helped people understand the ways in which were all connected how something that happens or doesnt happen halfway around the world or here in Washington can have consequences for American families.
ZeMarcopolo,Inaweza kuwa tricks za kuinfluence kesi ya Raila ya uchaguzi. Sasa naanza kuhisi hii kesi kama ikifunguliwa inaweza kuwa na uzito mkubwa kuliko nilivyodhani awali!!!