Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,916
Aisee hii sio mara ya kwanza nikiangalia kipindi cha Jiji Letu na kuona mtangazaji akisumbuliwa na Nzi usoni huku akilazimisha kumfukuza kwa bodylanguage ili asiharibu lakini wapi Nzi nao wanakomaa tu
Kuna siku Jackline nae alikumbana na hili.
Jana Rehema Salim nae akakumbana na kimbembe Inzi wakawa wanamsumbua usoni,mara mdomoni,mara puani.akajaribu kuchezanao kwa ishara ila Inzi akakomaa.
Ni Aibu sana kwa chombo cha habari kikubwa kama hiki,kwa kweli,naomba wahusika mjipange.
Kuna Taa zinauwezo wa kufukuza Nzi na kumfanya Inzi asiwe rafiki wa eneo husika.
la Sivyo kuna siku mtangazaji atakata kipindi,maana Inzi akiingia mdomoni hapo inakuwa mwisho tena