Ombi langu bado namwomba Dr.aje na huku Sikonge,huku bila kuja tutakuwa hatujatenda haki kwa watu hawa,kusema kweli huwezi kuamini kama huku ni sehemu ya Tanzania watu hawana hili wala lile juu ya mustakabali wa nchi yao,wanahitaji ukombozi kwa sasa...mie huku siyo kwetu ila watu hawa wananiumiza kichwa kila siku