Ngonepi JF-Expert Member Joined Jun 2, 2013 Posts 1,875 Reaction score 1,213 Dec 28, 2016 #1 Wakuu! Nimeambiwa nisitoke mpaka atakaporudi likizo, si naheshimu hitaji lake!! Nafanya kuagiza tu!!
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,685 Dec 28, 2016 #2 Unaishi mpanda?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Dec 28, 2016 #3 Kule kwetu Kwamtogole baba mwenye nyumba akinunua bia anaweka kiti cha uvivu barazani.
Kalamu Yangu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 1,110 Reaction score 1,077 Dec 28, 2016 #4 Unaagiza kivivu,mbili mbili kwenye kimfuko cha 50
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,438 Dec 28, 2016 #5 Kalamu Yangu said: Unaagiza kivivu,mbili mbili kwenye kimfuko cha 50 Click to expand... Mkuu kwenye wallet kulikuwa na 10,000 moja tu na hapo chenji ni ya maandazi kesho asubuhi.
Kalamu Yangu said: Unaagiza kivivu,mbili mbili kwenye kimfuko cha 50 Click to expand... Mkuu kwenye wallet kulikuwa na 10,000 moja tu na hapo chenji ni ya maandazi kesho asubuhi.
Kalamu Yangu JF-Expert Member Joined Dec 21, 2016 Posts 1,110 Reaction score 1,077 Dec 28, 2016 #6 Sky Eclat said: Mkuu kwenye wallet kulikuwa na 10,000 moja tu na hapo chenji ni ya maandazi kesho asubuhi. Click to expand... Hahaaa kunywa tuu kesho nakupitishia futari ya mhogo...ondoa bajeti ya maandazi
Sky Eclat said: Mkuu kwenye wallet kulikuwa na 10,000 moja tu na hapo chenji ni ya maandazi kesho asubuhi. Click to expand... Hahaaa kunywa tuu kesho nakupitishia futari ya mhogo...ondoa bajeti ya maandazi
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,488 Reaction score 100,883 Dec 28, 2016 #7 Nimecheka saanaa
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,800 Reaction score 4,908 Dec 29, 2016 #8 Mambo ya kirikuu,,,