Nyumbani wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama

Nyumbani wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,381
Reaction score
3,145
Oyaa wakuu
Wazee sijui hawanielewi

Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama,
baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu.

Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa vipepeo wa dunia,
Uchumi bado hauko stable , pesa inanitosha mwenyewe.

Ingawa nina vipepeo viwili ila bado sijaona wala kuwaza kama wanafit , still na zoom

Mambo ya kuoa mapema kwakweli hayajanibariki, nahitaji kula maisha kwanza, ingawa family ni muhimu.
 
Achana na mabinti wa mjini, tafuta mahari kama ndama 1 mbuzi 12 pesa laki 4 twende mapori ukajipatie kitu safi hakizijui shuruti wara shuruba, mshahara wangu na mambo mengine ni kama ifuatavyo, kunitoa mjini laki 2, usafiri juu yako, msosi juu yangu (utachangia kubadili mboga), ukuwadi afu 10, kumdanganya biti akuelewe akuone wa maana mifuko ya chips 25 kwa siku 25 afu 50 kila siku buku 2, mshenga mimi mwenyewe hapa sitakudai kitu msamaha umepita, wajomba na wakulungwa wa kijiji ili wakukabidhi binti yao kwa amani togwa (pombe za nafaka) dumu 5 sh afu 50, kazi inakwisha asubuhi sana anyway kataa ndoa ni salama kwa ustawi wa maisha yako.
 
😁😁😁
Kutokuolewa itakuwa Moja ya ugonjwa unaosambaa kwa Kasi siku chache zijazo.
 
Usawa huu!
Bado watu wanaingia ndoani kwa shinikizo kutoka nje? .
Huu ni ujuha wa kiwango cha SGR. lol
 
Nenda kwa speed yako, usifate ya mwenzio...
 
Back
Top Bottom