Nyumbani kwetu Kilombero

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,672

Sanje hiyooooo   


My Edward Lowassa akifanya kampeni mwaka 2015 KILOMBERO viwanja vya Temu karibu na benki ya NMB



Kiwanda Cha sukari Cha KILOMBERO maarufu Kama K2



Usafiri maeneo ya Nyange,Msolwa na Mang'ula



Hoteli za misosi hasa vijijiji



Sheli za mafuta za vijijini



Nikielekea kuziba pancha.



Safu a milima ya Udzungwa




Daraja la mto Ruaha Mkuu





Hili daraja limejingwa mwaka 1932 na makaburu.
 
Miaka ya 90's nilikuwa maeneo ya Mang'ula B tulikuwa tunaenda kucheza mechi za mpira wa miguu Mang'ula A. Ila sasa hivi hata ramani za huko sizikumbuki.

Nimeishi sana kijiji kimoja hivi kinaitwa msalise na nilianza dara la kwanza huko msalise shule ya msingi mwaka 1992.
 
Hilo daraja mbona kama mteremko wake mkali sana ni salam kweli?
 
Kuna anayepajua Mang'ula?
Mang'ula A au Mang'ula B au unapazungumzia Mwaya au Mgudeni mkuu....

Kule ndio nilipokulia zaidi japo nina muda mrefu sana sijafika zaidi ya miaka 10 sasa,.
 
Hilo daraja lipo kama la kwenye movie moja hivi ya kichina inaitwa Blackship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…