Nyumbani kwa Mbatia panawaka moto

Nyumbani kwa Mbatia panawaka moto

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,080
Reaction score
12,300
Nyumbani kwa mbatia pamewaka moto zimamoto wamefika na kutoa msaada, pole sana mkuu.

Chanzo: Channel Ten
 
Hizi habari nimeziona CH Ten Pole sana kamanda Mbatia. Jamani huu mwezi vipi mbona vilio kila kona? Kuunguliwa Na makazi siyo mchezo.
 
Pole sana kamanda, Mungu akupe moyo Wa uvumilivu..
 
Nyumbani kwa mbatia pamewaka moto zimamoto wamefika na kutoa msaada, pole sana mkuu

Sio mbatia mgombea ubunge..ni kaka yake aishiye kijichI ukitoa habari ongea kwa kina sio kuwachanganya watu kusudi
 
Mabadiliko yanahitajika,baada ya kununua vifaa vya kudhibiti raia,tuanze kununua vifaa vya uokoz
 
Mbona Ch10 wamesema James Mbatia au wote majina yanafanana?
 
Tehe tehe, ingekuwa yeye mwenyewe ungemuona tu kwenye TV analia kama yule kocha anayefundisha timu ya wachimba almasi alivyolia alipotoka Congo. Ndiyo type hizo.
 
Haya sio ya kubeza yakikukuta ndio utajua maumivu yake
 
Nijuavyo, nyumba iliyoteketea ni ya kaka yake James MBATIA wa mtoni kijichi na ya James MBATIA politician
 
Back
Top Bottom