Nyumba zinatafutwa

Nyumba zinatafutwa

msonganzila

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
204
Reaction score
106
Nyumba Nzuri zinatafutwa ziwe maeneo ya Sinza,Tabata,Kinondoni,Magomeni,Keko au Makubuli pia Ubungo mpaka Kimara,Shariti ni razima iwe na Hati miliki,pia BEI IWE KUANZIA 100MILLION KUSHUKA......0715-011022
 
Nyumba nzuri Zikoje hizo za Chini ya 100M kndon na Magomeni tena zenye hati?
 
Nyumba Nzuri zinatafutwa ziwe maeneo ya Sinza,Tabata,Kinondoni,Magomeni,Keko au Makubuli pia Ubungo mpaka Kimara,Shariti ni razima iwe na Hati miliki,pia BEI IWE KUANZIA 100MILLION KUSHUKA......0715-011022
Zipo nyingi SANA mbna
mshindwe nyie tu...

Ova
 
Ndugu ysngu Mrangi karibu tuzungumze ktk simu hiyo hapo....
 
Keko ipo kina hati nyuma ya kituo cha polisi au petrol station bei 300milion
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom