Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Zipo nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya mlimani city. Nyumba ya kwanza ni ndogo ina chumba na sebule jiko pamoja na choo chake. Bei yake ni 150 000 kwa mwezi kodi ya mwaka inahitajika. Nyumba ya pili ni nyumba kubwa / family house ina vyumba viwili kimoja ni master store jiko sebule kubwa public toilet na tiles. Bei yake ni 300000/= kwa mwezi. Kodi mwaka pia miezi 10 ntapokea. Maji yapo. Hakuna fence. Parking ipo. Zote hakuna dalali. Mhitaji apige 0713401812.