Nyumba zinapangishwa mbezi beach

Nyumba zinapangishwa mbezi beach

uncledalali

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
249
Reaction score
118
Kuna nyumba zinapangishwa mbezi beach.

Kuna nyumba yenye vyumba 2, sebure dinning, choo na jiko la nje etc

NB: Kukupeleka kuona sh. elfu kumi.
Call or txt 0656063933
 
Kodi yako unalipije maana kama kwa siku kuona ni zaidi ya wateja 8 una 80000 bado commision ya udalali ambayo ni mwezi mmoja wa pango bado kwa wateja na nyumba zengine na mashamba .

Kuna haja ya TRA kubuni mbinu ya kodi kwa hili kundi
 
Kuna nyumba zinapangishwa mbezi beach.

Kuna nyumba yenye vyumba 2, sebure dinning, choo na jiko la nje etc

NB: Kukupeleka kuona sh. elfu kumi.
Call or txt 0656063933

Chumba kimoja master naweza kupata? Weka bei na picha hapa.
 
Nyumba ina vyumba2 vya kulala(1master),dinning,sebure,choo na jiko.kodi kwa mwezi laki3.5 ipo mbezi beach tangibovu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom