Nyumba zinapangishwa maeneo ya Savei Mwenge

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Zipo nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya mlimani city. Nyumba ya kwanza ni ndogo ina chumba na sebule jiko pamoja na choo chake. Bei yake ni 150 000 kwa mwezi kodi ya mwaka inahitajika.

Nyumba ya pili ni nyumba kubwa ina vyumba viwili jiko sebule public toilet. Bei yake ni 280,000/= kwa mwezi. Kodi mwaka au lak 3 kwa miez 10 Maji yapo. Hakuna fence. Parking ipo. Zote hakuna dalali. Mhitaji apige 0713401812.
 
...tupiemo tu picha mkuu kukoleza tangazo...
 
Vp Mkuu hamna cha room moja pekee maeneo hayo.
Nahitaji kupata chumba kimoja pekee
 
Zipo nyumba mbili zinapangishwa maeneo ya mlimani city. Nyumba ya kwanza ni ndogo ina chumba na sebule jiko pamoja na choo chake. Bei yake ni 150 000 kwa mwezi kodi ya mwaka inahitajika.

Nyumba ya pili ni nyumba kubwa ina vyumba viwili jiko sebule public toilet. Bei yake ni 280,000/= kwa mwezi. Kodi mwaka au lak 3 kwa miez 10 Maji yapo. Hakuna fence. Parking ipo. Zote hakuna dalali. Mhitaji apige 0713401812.

Natafuta chumba mitaa hiyo
 
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey mwenge dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba kubwa yenye sebule kubwa na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master, store tiles na public toilet ina sehemu ya jiko pia. Maji yapo masaa 24. Haina uzio ila gari linafika mpaka mlangoni kwako.Bei ni 300,000/- kwa mwezi na nahitaji kodi ya mwaka mzima. Hakuna dalali hapa.itakuwa wazi kuanzia tarehe 1 august 2014. Kwa anayeihitaji tafadhali Pm.

Hiyo nyumba ya pili kama ulishaweka tangazo lake vp jamaa kahama fasta kwani ina tatizo gani?
Posted 14 July 2014
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey mwenge dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba kubwa yenye sebule kubwa na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master, store tiles na public toilet ina sehemu ya jiko pia. Maji yapo masaa 24. Haina uzio ila gari linafika mpaka mlangoni kwako.Bei ni 300,000/- kwa mwezi na nahitaji kodi ya mwaka mzima. Hakuna dalali hapa.itakuwa wazi kuanzia tarehe 1 august 2014. Kwa anayeihitaji tafadhali Pm.
 
Zipo nyumba 4 za namna hyo dgo
 
Nitapata chumba na sebule mitaa hiyo sasa hivi. Au next week.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom