Nyumba zinapangishwa kibamba kwa mangi.

Nyumba zinapangishwa kibamba kwa mangi.

apartments

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Nyumba zipo kibamba kwa mangi ni dakika kumi kutoka kituo cha daladala,ni nyumba mbili ambazo hazijawahi kupangisha kwa maana nyengine ni mpya kabisa.

1.Nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu,chumba kimoja master,public toilet and bath room,kitchen,store,sitting room and dining room,vibaraza viwili mbele na nyuma. bei 250,000 kwa mwezi

2.Nyumba ya pili ina vyumba viwili kimoja master,public toilet and bath room,sitting room and dinning room,kitchen,vibaraza viwili mbele na nyuma.bei 200,000 kwa mwezi
hakuna dalali piga simu hii uwasiliane moja kwa moja na mwenyenyumba 0767 021 882 or 0787 021 882.karibu sana.maongezi yapo.
 

Attachments

  • kwa mbele.JPG
    kwa mbele.JPG
    6 KB · Views: 304
  • kwa nyuma.JPG
    kwa nyuma.JPG
    6.5 KB · Views: 299
Tuzuri,ila garden hujamalizia bhana huo ndo ugonjwa wa wife..
 
Iko poa sana, hujazungumzia suala la maji na umeme kama. Vipo au vip
 
Mimi nimezishuudia mwenyewe kama kuna mtu anaziitaji jamani ni tuzuri sana.mimi nimefika hapo ndio njia yangu mkuu.napita kila siku.
 
Kila kitu kinapatikana kama huyo mjumbe alivyoeleza. No sharing.
 
kuna fensi? panafikika kwa gari? kama kuna parking, inatosha gari ngapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom