Nyumba zinapangishwa Dsm

Mkuu kuna magari mengine yakikuchomeka barabarani inabidi uwe mpole tu usimame upishe...

Hebu fikiria unachomekewa na Porsche Cayene au X5 hivi, hapo unajua ukilichuna tu huo msala wake wa kurudishia rangi, unaweza kumpa dili Kaka Dalali akuuzie ile nyumba ya urithi ili ufanye compensation
Umesema limekuchomekea sio wewe kulichomekea, sasa hapo utalipaje? Ndiyo maana kwa hapa Bongo hasa nyakati za michakariko huwa napenda kutumia gari lenye ngao la chuma mbele. Akitokea mtu amejichanganya naondoa taa yake tu au namchanja chale kwenye bodi halafu natulia kumsikiliza..
 
Nyumba inapangishwa Mbezi Samaki
* vyumba4(masta1)
* sebule, jiko, choo , store
* inajitegemea ndani ya geti
* kodi laki5/mwezi- miezi6
* 0752953860
 

Attachments

  • 1404144820678.jpg
    1404144820678.jpg
    51.9 KB · Views: 284
  • 1404144852355.jpg
    1404144852355.jpg
    38.9 KB · Views: 275
Chumba sebule choo. Ndani ya fensi, Maji yapo! Kodi laki2-Mwaka, laki2.5-miezi6
@Ipo mbezi goigi, ipo karibu na Barabara!!
0752953860
 

Attachments

  • 1404557085296.jpg
    1404557085296.jpg
    103.8 KB · Views: 251
Nyumba Inapangishwa Mbezi jogoo upande wa chini
*upande wa juu(gorofani)- ina vyumba2, sebule, jiko, choo ndani. Fensi na maji yapo.
Bei laki5-miezi6 anachukua
*0752953860
 

Attachments

  • 1404649325061.jpg
    1404649325061.jpg
    49.4 KB · Views: 232
  • 1404649400402.jpg
    1404649400402.jpg
    45.8 KB · Views: 195
mbona MMEBASE Dar?? Sisi wa mikoani amna madalali???? niko ARUSHA
Nataka nyumba yenye chumba kimoja, jiko, choo na sebule....
Umeme na maji ni muhimu... bajet laki moja
NOTE: isiwe mbali na barabara kuu (Usafiri uwe unapatikana)
 
natafuta nyumba ya vyumba viwili kimoja master,public toilet,jiko,sebule,luku peke yake,maji yawe karibu iwe maeneo ya oysterbay ya uswahilini,msasani(sio bonde la mpunga hii ya tirdo,ccbrt) namanga,adda estate price:200k p.m payment:6months basis
 
Chumba, sebule, jiko, choo ! Laki2, Ipo mbezi beach goigi
Piga 0654913364
 

Attachments

  • 1405158968386.jpg
    1405158968386.jpg
    74 KB · Views: 283
  • 1405158990791.jpg
    1405158990791.jpg
    76.8 KB · Views: 207
  • 1405159016866.jpg
    1405159016866.jpg
    46.4 KB · Views: 196
  • 1405159042189.jpg
    1405159042189.jpg
    40.1 KB · Views: 203
Chumba sebule choo ndani, full tiles.Ipo tangibovu laki1.5/mwezi.
contact 0752953860
 
vyumba2 na sebule, choo cha nje mnashea watatu, Ipo tangibovu kodi laki2/mwezi.
contact 0752953860.
 
nyumba inapangishwa mbezi tangibovu.
ina vyumba3, master bedroom moja.Sebule, dinning, sehemu ya kusomea, jiko, choo public na store
kodi laki8/mwezi miezi6. Ipo karibu na barabara mita 100.
contact 0752953860
 
Nyumba inapangishwa Mbezi beach jogoo.
Ina vuba3 (masta2), sebule, jiko, choo.
Kodi laki5-anachukua miezi6
piga 0752953860

IMG-20140809-WA0002[1].jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom