Nyumba zinapangishwa DODOMA

Nyumba zinapangishwa DODOMA

Clajago

Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
87
Reaction score
10
tangazo
nyumba zinapangishwa.

nyumba (nzima) inapangishwa.

  • ipo nkuhungu north.
  • vyumba vitano (5) vya kulala vikiwa na tiles (marumaru).
  • sebule, jiko, choo, bafu na uzio wa ukuta.
  • milango na madirisha grilled.
  • master bedroom ina study room yake na veranda yake.


nyumba (nzima) inapangishwa.

  • ipo chadulu karibu na kona ya area “d” na msikiti wa chadulu
  • vyumba vitatu (3) vya kulala.
  • sebule,stoo,jiko,choo na bafu
  • ina ukuta pande 2

wasiliana na muhusika kwa:-
0754 305215 0713 214 312 0786 090 305
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom