Nyumba zinapangishwa Dodoma

Chiwaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
5,725
Reaction score
3,795
Karibuni Dodoma.
Kama unahitaji Nyumba ya ama kupanga au kununua pamoja pia na Kiwanja/Viwanja Sehemu
yoyote katika Makao Makuu ya Nchi-Dodoma, Tuwasiliane.

Call 0759 888 018 au Ni-pm kwa mawasiliano zaidi.

Tupe projection costs za viwanja na maeneo yake respectively.
 
Naomba rough estimates za kiwanja 1,500 square meters in chamwino area and not far from Bw. Mkubwa residence.
 
Mimi nahitaji shamba Iringa nilime sana maana soko litakua limesogea sana
 
Mimi nahitaji shamba Iringa nilime sana maana soko litakua limesogea sana
Polepole KIongozi, hapa Tunazungumzia Makao makuu ya Nchi-Dodoma na sio Iringa .
 
Polepole KIongozi, hapa Tunazungumzia Makao makuu ya Nchi-Dodoma na sio Iringa .

Kiongozi ni fursa kubwa sana hata kwa sisi wa mikoa ya pembeni mwa dodoma. Ndo maana tunaungana nanyi kuhakikisha azma ya serikali inatimia. Nisamehe lakin kiongozi ni mzuka tu umepanda
 
Kiongozi ni fursa kubwa sana hata kwa sisi wa mikoa ya pembeni mwa dodoma. Ndo maana tunaungana nanyi kuhakikisha azma ya serikali inatimia. Nisamehe lakin kiongozi ni mzuka tu umepanda
Usijali, karibu Dodoma.
 
Mkuu umemuelewa jamaa lakini??? Chamwino ipi unaiongelea wewe??

Chamwino wilaya(Ikulu) au Chamwino ya warangi karibu na Gwasa?
Karibu na Ikulu.
 
Kumbe ZUZU ipo ndani ya manispaa, ndo najua leo
Nahitaji kujua bei ya kiwanja kule ushuani Miyuji
 
dah,,bei nafuu sana,kwahiyo nikihitaji sqm 10,nalipa 300,000 tu...!!.

Ngoja nna laki tatu hapa haina kazi ntakuja nunua kiwanja
Hilo eneo ni kwa ajili ya kujenga kiosk au? 10sqm ni kama 3.1mx3.2m
 
Ahhahahahahahaa mkuu umenichekeshaa balaaa..
Watanzania huwa tunaishi kwa mihemko sana !!
Hata wale waliozikosa share za DSE walichekacheka hivyohivyo. Leo wanajilaumu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…