Binadamu wenzetu waishio Dunia ya kwanza linapokuja swala la makazi huwa hawana mbwembwe nyingi, hasa kwenye ujenzi wa nyumba kama sisi wenye kipato kidogo tuishio Dunia ya tatu!
Yaani mtu yupo radhi ajinyime hata kula ili ajenge nyumba ya milioni 50, matokeo yake mjengo unaisha lakini mwenye nyumba anaanza kuugua vidonda vya tumbo!
Tuache sifa za kijinga tujenge nyumba tu za kawaida zenye viwango vizuri!
Huna haja ya kujitetea boss, piga hako kakibanda umiza tu, hamna atakayekuchapa ....hao mabeberu unaowarefer kwao nyumba ya kawaida huku ni kali mno, na quality yake hata huwez gusa
Binadamu wenzetu waishio Dunia ya kwanza linapokuja swala la makazi huwa hawana mbwembwe nyingi, hasa kwenye ujenzi wa nyumba kama sisi wenye kipato kidogo tuishio Dunia ya tatu!
Yaani mtu yupo radhi ajinyime hata kula ili ajenge nyumba ya milioni 50, matokeo yake mjengo unaisha lakini mwenye nyumba anaanza kuugua vidonda vya tumbo!
Tuache sifa za kijinga tujenge nyumba tu za kawaida zenye viwango vizuri!
Asa milioni 50 nayo unaona kubwa!! kumbe mabangaloo ya watu saiti yanakunyima raha ,we jenga kulingana na mfuko wako usiangalie jirani kajenga nini,ata akifa kwa vidonda vya tumbo bado hayakuhusu.