Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 26, 2013 Thread starter #21 Kongosho said: Ha ha ha ha, lakini ni kweli ina geti. Click to expand... umeliona eh? una akili sana wewe
Kongosho said: Ha ha ha ha, lakini ni kweli ina geti. Click to expand... umeliona eh? una akili sana wewe
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 26, 2013 Thread starter #23 Zamaulid said: afadhari hiyo ya babu yangu ilikuwa na fremu bila hizo lenzi na alikuwa anaivaa! Click to expand... watu mko siriasi sana
Zamaulid said: afadhari hiyo ya babu yangu ilikuwa na fremu bila hizo lenzi na alikuwa anaivaa! Click to expand... watu mko siriasi sana
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 26, 2013 Thread starter #24 Third Eye said: Wakati wa kuingia unapiga honi kwa fujo watoto waje kukufungulia geti Click to expand... kama unavyoona hakuna pengine pa kuingilia wala kutokea
Third Eye said: Wakati wa kuingia unapiga honi kwa fujo watoto waje kukufungulia geti Click to expand... kama unavyoona hakuna pengine pa kuingilia wala kutokea
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 26, 2013 Thread starter #25 MamaBeata said: mtu ajenge ukuta ndo muelewane au ndo umkane? Biashara gan hii? Click to expand... huwezi jua huenda akijenga ukuta bei ikapoa
MamaBeata said: mtu ajenge ukuta ndo muelewane au ndo umkane? Biashara gan hii? Click to expand... huwezi jua huenda akijenga ukuta bei ikapoa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 26, 2013 Thread starter #26 grafani11 said: Hii nayo kali ya mwaka. Click to expand... ni kuweka vipaumbele tu grafani11
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 May 26, 2013 #27 Amavubi said: watu mko siriasi sana Click to expand... Bila shaka wewe ulileta uzi kujaribu watu hapa jamvini. Kwa kauli yako hii wadau watakuwa wamekuelewa. Period.
Amavubi said: watu mko siriasi sana Click to expand... Bila shaka wewe ulileta uzi kujaribu watu hapa jamvini. Kwa kauli yako hii wadau watakuwa wamekuelewa. Period.
Mbugi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 1,488 Reaction score 258 May 26, 2013 #28 Amavubi said: Iko Mtwara mkuu, wamevunja ukuta wote[/QUOTE Yamekuwa ya Mtwara tena? wakianza na wale nyumba yetu utakimbilia wapi?? Click to expand...
Amavubi said: Iko Mtwara mkuu, wamevunja ukuta wote[/QUOTE Yamekuwa ya Mtwara tena? wakianza na wale nyumba yetu utakimbilia wapi?? Click to expand...