P pmas Member Apr 4, 2014 18 2 Feb 24, 2016 #1 N Nyumba iko Kihonda cheers karibu na godown za Kihonda Viwandani. Ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa).
N Nyumba iko Kihonda cheers karibu na godown za Kihonda Viwandani. Ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa).
Ficus JF-Expert Member Jul 14, 2013 1,438 1,119 Feb 25, 2016 #2 "ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa)". Fafanua hapo sijaelewa.!
Bill JF-Expert Member Oct 5, 2007 8,907 9,576 Feb 25, 2016 #3 Mbona haiendani na hiyo bei. 35m Tshs, labda enzi za wauza unga na wapiga dili serikalini
P pmas Member Apr 4, 2014 18 2 Feb 25, 2016 Thread starter #4 Ficus said: "ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa)". Fafanua hapo sijaelewa.! Click to expand... In maeneo ambayo hayakupimwa (squatters)
Ficus said: "ina hati miliki ya viwanja visivyopimwa (ya manispaa)". Fafanua hapo sijaelewa.! Click to expand... In maeneo ambayo hayakupimwa (squatters)