Nyumba ya serikali pale Ada Estate

Maundumula

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
7,550
Reaction score
3,092
Habari bandugu,

Kuna nyumba moja ambayo nadhani ilikuwa ya serikali pale Ada Estate , kama unatokea ST Peters karibia ya kukata kona ya kuingia Ali Hassan Mwinyi Rd unakuwa unaiona. Ile nyumba imeshavunjwa na sasa naona kuna ramani ya ghorofa kubwa tu la kitega uchumi.

Sasa swali langu je hawa wastaafu waliouziwa nyumba za serikali wanaruhusiwa kuzibadilisha matumizi ama kuziuza? Au hii nyumba haikuwa miongoni mwao maana mimi nikiona vigae vya zamani najua ya serikali. Naombeni ufafanuzi kwa mnaofahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…