Hii ni moja ya nyumba za Walimu wa shule ya Msingi Mihuga iliyopo Wilayani Bagamoyo. mazingira ya namna hii yanasababisha walimu wengi kuikimbia fani yao ya ualimu. Picha na Ibrahim Yamola.
Khaaaa!!
Jamani , hivi huyu mwalimu ni kiwete, kipofu na mgonjwa wa viungo?
Yaani hata kuchimba kajishimo wakati wa mvua na kutengeneza tope la kuziba pia anataka serikali ije imfanyie?
Ana ugonjwa wa utindia ubongo huyu..
Hastahili hata kuwa mwalimu!
Tutalaumu serikari bure lakini wa kumlaumu ni mwalimu mwenyewe, babu yangu alikuwa mwalimu bagamoyo na mjengo wake nikiwaonyesha hamuwezi amini, Nyumba kajenga nzuri sana,
huyo mwalimu wenu labda aliendekeza starehe huku akingoja huruma ya serikari